,
Kuelewa "Bisa Kdei - Odo Carpenter".
"Bisa Kdei - Odo Carpenter" ni wimbo.
Lugha ya wimbo ni Kiakani.
Mwaka ya wimbo ni 2014.
Maana
Ikiwa wewe ninakumbuka mwanzo kisha upendo yenu atarudia.
Bisa Kdei ni seremala.
Yeye ni maskini.
Msichana anapenda yeye.
Bisa Kdei anakuwa tajiri.
Bisa Kdei anasahaua upendo ya msichana.
Msichana anakuwa huzuni.
Bisa Kdei anakumbuka historia yake.
Upendo yake anarudia.